Baadhi ya uchafu utokao ukeni huwa ni ishara ya kuonyesha afya ya uke wako. Je, unafahamu tofauti iliyopo kati ya uchafu wa kawaida na usio wa kawaida utokao ukeni? Kutokwa na uchafu ukeni ni sehemu ya asili ya kuwa mwanamke, lakini wakati mwingine mabadiriko ndani yake yanaweza kuonyesha tatizo fulani.…
Unataka Kupata Mimba, Basi Tambua Kusoma Kalenda Ya Mzunguko Wako Wa Hedhi.
Wanawake wengi wamekuwa wakiniuliza maswali mengi sana kuhusiana na jinsi ya mwanamke kupata mimba au kuzuia kutopata mimba. Naamini maelezo yafuatayo ukisoma kwa makini unaweza kupata ufahamu na kujibiwa maswali yako yote ambayo yamekuwa yanakutatiza. NUKUU: Pia ni vizuri kuzingatia na kutochanganya Kalenda ya mzunguko wa hedhi tunayoongelea hapa na ile…
Mambo 9 Yanayomfanya Mwanaume Kushindwa Kufika Kileleni.
Hali ya kuwahi kufika kileleni hujitokeza pale mwanaume anapowahi kutoa shahawa mapema zaidi kabla mwenzi wake hajawa tayari wakati wanapofanya tendo la ndoa. Hili pia limekuwa ni chanzo cha matatizo katika ndoa. Tukiangalia tunaona katika wanaume 3, mmoja anaweza kuwa na tatizo hili. Kadiri tatizo hili linavyozidi kuonekana mara kwa…
Fahamu Mambo 4 Yanayosababisha Mishipa Ya Damu Kuziba
Mishipa ya ateri iliyoziba ni mshipa wa damu ambao umezibwa kidogo tu au moja kwa moja kabisa na mlundikano wa damu iliyoganda au mafuta, hali ambayo inaweza kuzuia kabisa mtiririko wa damu kwenye viungo muhimu na tishu. Mishipa ina jukumu la kubeba damu iliyojaa oksijeni kutoka kwenye moyo hadi kwenye…
Fahamu Mambo 5 Yanayosababisha Damu Ya Hedhi Kuwa Na Mabongemabonge
Kuganda kwa damu na kuwa mabonge wakati wa hedhi huonekana kama jambo la kawaida kwakuwa ni hali tu iliyo katika sehemu ya mzunguko wa hedhi. Wanawake wengi, kwa mtazamo mwingine wakati wa mizunguko yao ya hedhi hushindwa kupitisha mabonge ya damu. Baadhi ya mabonge yanaweza kuwa makubwa yenye tishu nyeupe…
Fahamu Mambo 6 Yanayosababisha Miguu Na Mikono Kufa Ganzi.
Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa…