Maumivu ya mgongo ni moja ya vyanzo vinavyowafanya watu wengi kwenda kwa daktari au kushindwa kufanya kazi na kupelekea kuwa mlemavu. Watu wengi wana matatizo ya maumivu ya mgongo. Kwa bahati nzuri, unaweza kuchukua hatua za kuzuia au kupunguza sehemu nyingi za maumivu ya mgongo. Ikiwa kinga itashindikana, matibabu rahisi…
Jinsi Ya Kuandaa Ugali Mzuri Wenye Virutubisho.
Ugali ni chakula kinacholiwa na jamii za kiafrika. Chakula hiki chenye virutubisho vya wanga hutokana na unga wa nafaka (kama mahindi, mtama, uwele) au muhogo. Unaweza kuandaa ugali wako mzuri utakaokufanya uishi kwa muda mrefu bila kupatwa na magonjwa mara kwa mara kwa kutumia nafaka hizi: Mtama mweupe kilo 2 Uwele kilo 1 Ngano au muhogo kilo 1 Changanya…
Je, Nini Unapaswa Kufahamu Kuhusu Ulaji Wa Udongo?
Geophagia ni neno rasmi la kutamani kula vitu vichafu, ikijumuisha mkaa, majivu au udongo. Kula uchafu kunaweza kupunguza maumivu ya utumbo kwa baadhi ya watu, lakini pia kunaweza kusababisha matatizo ya kiafya kama vile upungufu wa damu na kusababisha sumu. Watu hula kwa makusudi mara kwa mara vitu ambavyo sio chakula.…
Jinsi Ya Kukabiliana Na Tatizo La Manii (Mbegu Za Mwanaume) Kukosa Ubora Wake.
Baadhi ya watu wanaweza kujiuliza je, ladha ya manii au shahawa huwa ikoje, au harufu yake inakuwaje. Wakati unapoweza kubadirisha sifa hizi, basi mabadiriko yanaweza pia kuwa ishara ya matatizo. Ladha, harufu, rangi na muonekano wa manii unaweza kutofautiana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Manii zinaweza pia kubadirika…
Fahamu Madhara Ya Maambukizi Kwenye Figo Zako
Maambukizi ya figo ni aina ya maambukizi ya mfumo wa mkojo ambayo kwa kawaida hutoka kwenye kibofu hadi kwenye figo zako. Bakteria ndio chanzo cha ugonjwa huu. Dalili ni pamoja na homa, shida ya kukojoa, maumivu ya kiuno na maumivu wakati wa kukojoa. Maambukizi ya figo yanatibiwa kwa madawa ya antibiotic.…
Epuka, Maambukizi Ya UTI Kwani Yanaweza Kukufanya Ukose Ujauzito Kabisa.
Ikiwa Maambukizi katika njia ya mkojo (UTI) yataathiri sehemu ya juu ya mwili wako (figo, mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi), yanaweza kuathiri uwezo wako wa kushika mimba. Ugonjwa wa UTI (Urinary Tract Infection) ni suala la kawaida kwa wanawake ambalo husababishwa na kukua kwa bakteria ambao kwa ujumla wanaitwa…