Uvimbe mdogo hutokeza kwenye shingo ya kizazi, ambao kitaalamu huitwa, “Cervical Polyp”. Uvimbe huu unaweza kusababisha kutokwa na damu ukeni. Daktari anaweza kupima na kugundua uvimbe huo. Kwa kawaida uvimbe huchunguzwa na kukatwa ili kufanyiwa vipimo. Katika namna nyingine, uvimbe unaoota na kuchomoza kwenye shingo ya kizazi huendelea kukua na hivyo…
Fahamu Mambo 7 Yanayoweza Kuathiri Mbegu Za Mwanaume.
Watu wengi wamekuwa na dhana kwamba mshindo wa kwanza baada ya kufika kileleni ndio hulifikia yai haraka, tena huwa ni bora zaidi kwa ajili ya kutengeneza mtoto. Hata hivyo hatujui kwamba kiwango kizuri cha mbegu na mwendo wake, haimaanishi ubora mzuri wa mbegu za mwanaume. Mchakato wa kukomaa kwa manii(Spermatogenesis)…
Fahamu Dalili 3 Za Ugonjwa Wa Chembe Ya Moyo (Angina Pectoris)
Chembe ya moyo ni ya kifuani au usumbufu unaotokea wakati moyo wako unaposhindwa kupokea damu yenye oksijeni ya kutosha. Matokeo yake, moyo wako unaweza kupiga mapigo kwa kasi (yaani mapigo ya moyo kwenda mbio) na vigumu kupata damu zaidi, na hivyo kusababisha maumivu yanayoonekana. Chembe ya moyo sio ugonjwa, bali…
Mambo 4 Unayoweza Kuyakosea Katika Kutambua Maambukizi Ya Fangasi Ukeni.
Maambukiz haya yenye kuchukiza hutokea kwasababu ya kukua kwa bakteria aina ya Candida albicans, na ni wa kawaida kabisa, kwani huathiri wanawake 3 katika wanawake 4 katika maisha yao. Japokuwa maambukizi ya fangasi yanazidi kuongezeka kwa kasi, basi unapoona dalili kama vile muwasho mkubwa, ukiambatana na uchafu mwingi mweupe pamoja…
Angalia, Mwezi Mmoja Kabla Ya Kiharusi, Mwili Wako Utakutumia Ishara Hizi za Tahadhari!
Katika nafasi ya kwanza unaweza kutaka kujua kiharusi kinatokana na nini. Ni “shambulio la ubongo” ambalo hutokea wakati mtiririko wa damu kwenye sehemu ya ubongo inpoingiliwa. Katika makala hii tutazungumzia kuhusu viharusi, ishara za kawaida za tahadhari na jinsi ya kujikinga. Kwanza, unapaswa kujua kwamba kuna aina 2 kuu za viharusi: ischemic na hemorrhagic.…
Fahamu Mambo 4 Yanayokufanya Ukose Choo.
Je, kukosa choo ni nini? Kukosa choo maana yake ni kutokuwa na uwezo wa kwenda haja kubwa kutokana na kinyesi kukusanyikana sehemu moja tumboni na kuwa kigumu na kushindwa kutoka. Kwa kawaida kinyesi tumboni kinapaswa kutoka kila siku kila baada ya kupata mlo, iwe ni mlo wa asubuhi, mchana au…