Mambo 4 Ya Kutisha Yanayosababisha Mbegu Za Mwanaume Kuwa Chache.

Unaweza usijue kwamba una tatizo la mbegu kuwa chache (Oligospermia), umejaribu kumtungisha mwanamke mimba ili upate mtoto lakini hujafanikiwa. Vipimo vinaweza kuonyesha kwamba una mbegu chache kuliko idadi ya kawaida ya mbegu. Lakini nipende kukupa maumaini kwamba yapo matibabu ya asili yanayoweza kuondoa tatizo hili tena kwa urahisi kabisa. Mbali…

Fahamu Madhara Ya Uvimbe Wa Fibroid Wakati Wa Ujauzito

Idadi ndogo ya wanawake wajawazito wana uvimbe wa fibroid. Kama ni mjamzito na una vivimbe vya fibroid, haviwezi kusababisha matatizo kwako au kwa mtoto ikiwa kama utapata huduma. Wakati wa ujauzito, uvimbe wa fibroid unaweza unaweza kuongezeka ukubwa. Ukuaji huu mara nyingi hutokana na mtiririko wad amu kwenye mfuko wa…

Magonjwa Matatu Yanayomfanya Mwanamke Kutokwa Na Damu Nying Ya Hedhi Kwa Mfululizo.

Kutokwa na damu ya hedhi kwa mfululizo au kujirudia rudia ndani ya mwezi mmoja, kitaalamu hujulikana, “intermenstrual bleeding, metrorrhagia au spotting. Kwa kawaida ugonjwa huu huwa ni wa kawaida na unaweza usiwe wa hatari mno katika afya ya mwanamke. Wanawake wengi hutokwa na damu ya hedhi kwa kujirudiarudia katika miezi…

Je, Ni Kweli Ugonjwa Wa PID Unaweza Kusababisha Mlango Au Shingo Ya Kizazi Kuvimba?

Kuvimba kwa shingo ya kizazi kitaalamu tunaita, “cervicitis”, ambao ni sehemu ya chini, tena nyembamba inayokuwa mwishoni kabisa ndani ya maeneo ya uke wako. Dalili utakazoziona za kuvimba kwa shingo ya kizazi ni Pamoja na kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja, maumivu makali wakati unapofanya tendo la ndoa…

JE, NINI HUSABABISHA TEZI DUME KUVIMBA? NINI MADHARA YAKE?

Tezi dume ni tezi ndogo ambayo husaidia kutengeneza manii, nayo ipo chini kibofu cha mkojo. Mara nyingi tezi hii hupanuka na kubwa kadiri unavyozidi kuwa mzee. Tezi dume iliyovimba inaweza kusababisha dalili ambazo zinaweza kukusumbua, kama vile kuziba kwa njia ya mkojo kwenye kibofu cha mkojo. Inaweza pia kusababisha matatizo…