Hali ya kutokuwa na uwiano sawa(hormonal imbalance) kwa wanawake hutokea pale vichocheo au homoni zinapopanda sana au kushuka sana na kufikia viwango vya chini kwenye mkondo wa damu. Vichocheo au homoni huwa ni kemikali zinazozarishwa na tezi katika mfumo wa endocrine zinazoambia seli, tishu, pamoja na viungo, kitu gani cha…
Je, Ugonjwa Wa PID Unaweza Kusababisha Maumivu Ya Mgongo?
Kuna magonjwa mbalimbali ambayo yanaweza kusababisha maumivu kwenye nyonga kwa wanawake. Endometriosis ni mfano mojawapo, na PID ndio unafuata. Lakini kama dalili zako zitakuwa ni maumivu ambayo husambaa kuelekea juu, basi lazima utakuwa unajiuliza je, PID inaweza kufanya mgongo wako uwe na maumivu? Hebu ngoja tuangalie Makala hii. Je, Maumivu…
Fahamu Madhara 3 Ya Kuvimba Kwa Korodani (Orchitis)
Nini Maana Ya Kuvimba Kwa Korodani (Orchitis)? Orchitis ni kutuna au kuvimba kwa korodani moja au zote mbili. Korodani ni iungo vya mfumo wa uzazi wa mwanaume. Viungo hivi huzarisha mbegu na homoni za testosterone. Wanaume wote wana korodani mbili ambazo hukaa ndani ya kifuko kinachoitwa pumbu. Je, Epididymo-orhitis Ni…
Mambo 8 Yanayosababisha Mlango Wa Kizazi Kuvimba.
Je, Kuvimba Kwa Shingo Ya Kizazi Maana Yake Ni Nini? Kuvimba kwa shingo ya kizazi ni kutuna kwa mlango wa kizazi(cervicitis). Hali hii inapojitokeza huambatana na kutokwa na uchafu mwingi ukeni, kutokwa na damu damu au kuhisi maumivu makali wakati unaposhiriki tendo la ndao, ingawa baadhi ya wanawake wanaweza wasihisi…
Madhara 5 Ya Kutoshika Mimba (Ugumba) Unayopaswa Kuyafahamu
Ugumba au inamaanisha mwanamke kutokuwa na uwezo wa kushika ujauzito licha ya kufanya tendo la ndoa bila kutumia kinga kwa Zaidi ya mwaka mmoja. Ugumba unaweza kusababishwa na mambo mengi mbalimbali. Kutegemeana na mambo yanayosababisha ugumba, bado kuna uwezekano wa kutibu ugumba kwa njia mbalimbali hususani tiba za asili. Matibabu…
Dalili 10 Za Ugonjwa Wa Homa Ya Ini Aina Ya “Hepatitis A”
Homa ya ini ugonjwa wa ini unaoambukiza sana unaosababishwa na virusi vya hepatitis A. Virusi hivyo ni mojawapo ya aina kadhaa za virusi vya homa ya ini vinavyosababisha ini kuvimba na kuathiri uwezo wa ini kufanya kazi. Leo nitaanza na aina ya Hepatitis A Una uwezekano mkubwa wa kupata hepatitis…