Kwa kawaida, mizunguko ya hedhi hukaa kwa siku nne hadi saba. Kwa mfano matatizo ya mzunguko wa hedhi ni Pamoja na mizunguko ambayo hutokea chini ya siku 21 au Zaidi ya siku 35, ukakosa hedhi siku tatu au Zaidi, na mtiririko wa damu ya hedhi ambayo ni nyingi na ya…
ZIJUE SABABU 8 KWANINI MWANAMKE HUTOKWA NA UCHAFU UKENI.
Maumivu ya kiuno ni ya kawaida. Inaweza kuanzia kuuma na kuhisi kama kitu kinapita kwa kuchoma kama kisu na kupotea. Inaweza kuwa ni dalili ya muda mfupi au inaweza kuwa endelevu. Wanawake wote hupatwa na hali ya kutokwa na uchafu ukeni lakini kiwango na aina ya uchafu vinaweza kutofautiani. Uchafu…
Fahamu Sababu 7 Zinazomfanya Mwanamke Kutokwa Na Damu Nyingi Wakati Wa Hedhi.
Kutokwa na mabonge ya damu wakati wa hedhi mara nyingi huwa ni tukio la kawaida wakati unapotokwa na damu nyingi wakati wa hedhi. Kwakweli, wanawake wengi hutokwa na damu yenye mabonge wakati Fulani katika Maisha yao, kutokwa na damu nyingi na mabonge yad amu kupita yanaweza wakati mwingine kuwa sababu…
Fahamu Jinsi Gani Ugonjwa Wa PID Unavyoathiri Vipindi Vyako Vya Hedhi.
Ugonjwa wa PID ni ugonjwa mbaya ambao huambukiza viungo vya uzazi katika tumbo lako la chini. Aina hii ya maambukizi husababisha idadi ya dalili ikiwa Pamoja na masuala ya mzunguko wa hedhi. Lakini utambuzi wa mapema na matibabu ya tatizo hili hukuepusha na madhara yajayo baadaye. Je, Nini Maana Ya…
JE, MITINDO MIBAYA MAISHA INAWEZA KUWA CHANZO CHA MATATIZO YA UZAZI WA MWANAMKE?
Uchaguzi wa mitindo mibaya ya Maisha inaweza kuathiri uwezo wa mwanamke kupata ujauzito. Fikiria baadhi ya hatua rahisi ikiwa unatarajia kupata mimba. Kama unatarajia kupata ujauzito, unaweza kujiuliza kuhusu kizazi chako na jinsi gani unaweza kukiboresha. Kuna baadhi ya mambo yanayoweza kuwa nje ya uwezo wako, kama vile masuala ya…
ZIJUE DALILI 5 ZA UGONJWA WA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI(PID).
Dalili za ugonjwa PID huwa ni rahisi mno kuzigundua ikiwa kama ukijua namna ya kuzichunguza. Unapaswa kuzuia madhara ya ugonjwa wa PID na hali ya kutokupata ujauzito kwa kupata ushauri kwa daktari wako haraka iwezekanavyo mara unapougundua dalili za ugonjwa wa PID. Ugonjwa wa PID ni msemo uliotumika kuelezea maambukizi…