Homa ya manjano ni hali ambayo ngozi, weupe wa macho(sclera) Pamoja na membreni hubadirika na kuwa za njano. Rangi hii ya njano husababishwa na kiwango kikubwa cha bilirubin, nyongo yenye rangi ya njano machungwa. Nyongo ni uteute unaotengenezwa n aini. Bilirubin hutengenezwa mmeng’enyo wa chembe nyekundu za damu. Homa ya…
JE, NINI KINASABABISHA MSICHANA KUTOKWA NA DAMU YA HEDHI NYINGI KWA MFULULIZO?
Kutokwa na damu ya hedhi isiyo ya kawaida humaanisha kwamba damu ya hedhi inaweza kuwa nyingi sana tena kwa muda mrefu kuliko kawaida au unaweza usione hedhi kabisa. Kutokwa na damu ya hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja pia huwa ni ishara ya kutokwa na damu ya hedhi isiyo…
JE, WAJUA VYANZO NA DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME? JE, NINI MADHARA YAKE?
Je, Tezi Dume Ni nini? Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (rectum) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka mrija…
ZIJUE SABABU ZA INI KUJAA MAFUTA, DALILI ZAKE, MADHARA YAKE NA TIBA ZAKE
Ini ni kiungo kikubwa kigumu kinachokuwa ndani ya mwili wako. Ini huondoa sumu kwenye damu , hutengeneza viwango safi vya sukari kwenye damu, hurekebisha damu isigande, na hufanya kazi mamia na kazi zingine muhimu kabisa. Kama ilivyo kawaida, ini lako huwa lipo ndani ya mbavu upande wa kulia maeneo ya…
ZIJUE SABABU ZA UGONJWA SUGU WA FIGO, DALILI ZAKE, MADHARA YAKE NA TIBA ZAKE.
Ugonjwa sugu wa figo, pia unaitwa hali sugu ya kushindwa kufanya kazi kwa figo, inahusisha figo kupoteza polepole utendaji kazi wake. Figo zako huchuja uchafu na majimaji kutoka kwenye damu, ambao huondolewa kweye mkojo wako. Ugonjwa sugu wa figo unaweza kusababisha viwango vya hatari vya majimaji, pamoja na uchafu viweze…
Fahamu Jinsi Uvimbe Wa Fibroid Unavyoweza Kuchangia Kutokwa Na Damu Nyingi Wakati Wa Hedhi.
Damu nyingi wakati wa hedhi kwa kawaida hufafanuliwa kama kipindi cha hedhi ambacho hukaa kwa muda zaidi ya siku 8 na huhitaji kubadiri pedi mara kwa mara. Wakati hakuna sababu moja kuwa uvimbe wa fibroid kuwa husababisha hedhi ya muda mrefu, kuna nadharia chache: Uvimbe unaweza kukandamiza kizazi na kusababisha…