JE, NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUJIHISI KUWA ANA UJAUZITO WAKATI HANA UJAUZITO(FALSE PREGNANCY)?

Mimba kwa kawaida huwa ni wakati wa kusisimua kwa mzazi mtarajiwa. Lakini mara nyingi mimba haiishii kwa mtoto anayetarijiwa. Kwa upande mwingine, wanawake huamini kuwa wana mimba, ili kutambua tu kuwa dalili zao hazikusababishwa tu na ujauzito, bali na kitu kingine kabisa. NUKUU: Mimba ya uongo, kitaalamu tunaita, “Pseudocyesis” ni…

JE, NINI KINACHOSABABISHA BAADHI YA WANAUME KUCHELEWA KUFIKA KILELENI?

Kuchelewa kufika kileleni huwa ni hali ya kawaida kujitokeza. Hali hii hutokea wakati inapochukua muda mrefu sana mwanaume kufika kileleni au kumwaga shahawa pale anaposhiriki tendo la ndoa.  Kwahivy basi, muda huo mwanaume hushindwa kushusha mzigo kabisa au kufika kileleni hata kidogo, lakini kwa wengine tatizo hili linaweza kuwa endelevu…

Fahamu Jinsi Gani Ugonjwa Wa PID Unavyoweza Kuathiri Kizazi Cha Mwanamke.

PID inaweza kumfanya mwanamke kupata ujauzito kwa shida sana, na mwanamke 1 kati ya wanawake 10, anaweza kuwa mgumba kabisa kutokana na maambukizi hayo. Bakteria ambao huenea hata kufika kwenye mirija ya uzazi wanaweza kupelekea kuwapo  uvimbe ambao husababisha makovu  kujengeka. Na makovu hayo yanaweza kuunda vizuizi kwenye mirija ya…