Uvimbe aina ya cervicitis kwa kawaida huwa ni uvimbe unaojitokeza kwenye mlango au shingo ya kizazi, mwishoni kabisa mwa eneo finyu la chini ya mji wa mimba(uterus), ambalo huacha uwazi ndani ya uke.

Dalili zinazojitokeza mara kunapokuwapo na hali ya uvimbe huwa ni kutokwa na damu kabla ya muda wa hedhi haujawadia, maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa, kutokwa na uchafu mbaya, au wakati unapofanyiwa uchunguzi na daktari hasa anapozamisha kidole ndani ya uke. Lakini hata unaweza kupatwa na hali hii ya uvimbe pasipo kuona dalili zozote.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Kwa kawaida, ikiwa kama una tatizo la uvimbe kwenye mlango au shingo ya kizazi, dalili zake huwa kama ifuatavyo:
- Kutokwa na uchafu mwingi mbaya sehemu za uke
- Kuhisi maumivu makali kila unapohisi kwenda kukojoa
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kupata hedhi kabla ya muda wake
- Kutokwa na damu ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa, nah ii sio damu ya hedhi.
TIBA ZAKE
James & Ferdinand Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye mchanganyiko wa mimea ya asili, nazo ni antibiotic zenye uwezo wa kuondoa uvimbe huo nazo ni REDEEMER, FRESH HERB na VITAMAKA. Lakini kama uvimbe huo umesababishwa na vimelea wa maambukizi, utapaswa pia kupata dawa nzuri ambayo ni MULTI-POWDER.
Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 Au 0712 181 626
Arusha-Mbauda