MAMBO 7 YANAYOSABABISHA MANII ZA MWANAUME KUKOSA MBEGU.

Manii kukosa mbegu pale anapozitoa kitaalam tunaita, “azoospermia.” Vyanzo vyake ni pamoja na kuziba kwenye njia za uzazi, matatizo ya homoni, matatizo ya kufika kileleni, au matatizo kwenye korodani au utendaji kazi wake. Visababishi vingi vinatibika na uwezo wa mwanaume kumpa mimba mwanamke unaweza ukarejea. Kwa visababishi vingine inawezekana kurejesha mbegu zilizo hai kuweza kutumiwa katika kusaidia mbinu za uzazi.

23,800+ Male Infertility Stock Photos, Pictures & Royalty-Free Images -  iStock | Male fertility, Infertile man, Ivf

Je, Azoospermia Ni Nini?

Azoospermia ni ugonjwa ambao unaonyesha manii kuwa hazina mbegu za kutosha. Kwahiyo kutokuwa na mbegu za kutosha humfanya mwanaume kuwa tasa.

Jinsi Gani Manii Zisizokuwa Na Mbegu Zinavyokuwa?

Karibia asilimia 1% ya wanaume wote na asilimia 10% hadi 15% ya wanaume walio tasa/wagumba wana mbegu chache.

Je, Ni Sehemu Gani Za Mfumo Wa Uzazi Wa Kiume?

Mfumo wa uzazi wa mwanaume umetengenezwa na viungo vya ajabu kama hivi vifuatavyo:

  • Korodani
  • Mirija myembamba inayojenga tishu za korodani(seminiferous tubeles)
  • Mirija inayosafisha na kuhidhi mbegu(epididymis)
  • Mirija yenye msuli(Vas deferens)
  • Tezi za mrija ambazo huzarisha na kuhifadhi uteute(seminal vesicle)
  • Njia ya kupitishia mbegu
  • Njia ya mkojo

Wakati wa kufika kileleni, mbegu hutoka kwenye korodani na kupita kwenye mirija inayosafirisha mbegu na kuingia kwenye mirija ya msuli. Kule kujikaza kwa mirija hii husaidia kusukuma mbegu.

Uzarishaji wa manii huongezwa na uteute wa manii huendelea kusafiri kuelekea kwenye njia ya mkojo. Kabla ute haujafika kwenye njia ya mkojo, majimaji ya manii hupita kwenye tezi dume, ambayo huongeza majimaji kwenye mbegu yanayokuwa kama maziwa ili kutengeneza shahawa.

Mwisho kabisa, shahawa huachiliwa na kupita kwenye uume kupitia njia ya mkojo.

Idadi ya kawaida ya mbegu inakadiliwa kuwa milioni 15 au Zaidi. Wanaume wenye mbegu chache(oligozoospermia au oligospermia) huwa wa kuwa na mbegu chache chini ya milioni 15. Kama ukiwa na mbegu chache, basi huna mbegu za kutosha unapofika kileleni.

Je, Kuna Aina Tofauti Za Mbegu Kuwa Chache?

Kuna aina mbili za mbegu kuwa chache:

  1. Obstructive Azoospermia: Aina hii ya mbegu kuwa chache inamaanisha kwamba kuna kizuizi au kutokuwa na muungano kwenye mirija inayosafirisha na kuhifadhi mbegu kwenye njia za uzazi. Unazarisha mbegu lakini zinazuiliwa zisionekane kwahiyo hakuna mbegu kwenye manii zako.
  2. Nonobstructive azoospermia: Aina hii ya mbegu kuwa chache inamaanisha una mbegu kidogo sana au hakuna kabisa uzarishaji wa mbegu kutokana na madhaifu yaliyopo kwenye utendaji kazi wa korodani au sababu zingine.

Je, Nini Husababisha Mbegu Kuwa Chache?

Chanzo cha mbegu kuwa chache kinahusiana moja kwa moja na aina za mbegu kuwa chache. Katika maneno mengine, vyanzo vinaweza kutokana na kuziba kwa mirija au kutokuzarishwa kwa mbegu.

Vizuizi vinavyosababisha mbegu kuwa chache mara nyingi hutokea kwenye mirija inayosafirisha mbegu. Matatizo yanayoweza kusababisha kuziba katika maeneo haya ni pamoja na:

  • Uvimbe au makovu kwenye maeneo haya
  • Maambukizi
  • Uvimbe
  • Upasuaji kwenye eneo la nyonga
  • Kuendelea kwa vivimbe maji
  • Kukatwa kwa mirija
  • Magonjwa ya kurithi yasababishayo mirija ya mbegu kuziba.

Je, Nini Suluhisho Lake?

James Herbal Clinic tuna tiba asili zenye uwezo mkubwa mno wa kutatua tatizo hili na kurejesha uwezo wa mwanaume kumpatia mwanamke ujauzito.

Unahitaji huduma, basi wasiliana nasi kupitia namba hizi: 0752389252/0712181626,

Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSAP ili uweze kuunganishwa na darasa letu la elimu ya afya.

Pia unaweza kufika katika kituo chetu cha afya, Mbauda-Arusha,

Karibuni sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *