Kupima na kutambua tatizo lako la uvimbe kwenye mayai ni jambo la muhimu sana kwa ajili ya tiba, lakini wakati mwingine huwa ni rahisi sana kushindwa kuzigundua dalili hizi. Sasa hebu tuangalie jinsi zinavyokuwa: Hivi leo tunaona idadi kubwa ya wanawake wamekuwa wakiathiriwa sana na ugonjwa wa uvimbe kwenye mayai…
Mambo 8 Yanayopelekea Mzunguko Wako Wa Hedhi Kubadirikabadirika!
Ieleweke hivi, ingawa mzunguko wa hedhi wa wastani huwa siku 28, lakini unaweza kuonekana pia siku 24 au kila baada ya siku 34. Baada ya kubalehe, wanawake wengi huwa na mzunguko wa hedhi usiobadirika hata kidogo; lakini baadhi yao hubaki katika mzunguko wenye tabia ya kubadirika badirika. Kutokwa damu ya…
Fahamu Vyanzo, Dalili Na Madhara Ya Kuvimba Kwa Tezi Dume
Kuvimba kwa tezi dume kitaalamu wanaita, “Prostatitis”. Tezi dume iko chini ya kibofu chako cha mkojo, mbele ya puru yako. Mrija wako wa mkojo (ambao hubeba mkojo na manii) hupitia katikati ya tezi dume yako. Ikiwa una mojawapo ya aina tatu za kuvimba kwa tezi dume, tishu ndani na maeneo ya…
Mambo 6 Yanayomfanya Mwanaume Kupata UTI.
Njia yako ya mkojo inajumuisha sehemu za mwili wako zinazotengeneza mkojo na kuutoa nje ya mwili wako. Kwa wanaume, sehemu hizi ni pamoja na figo zako, kibofu cha mkojo, mirija ya mkojo, na njia ya mkojo. Mirija ya mkojo ni mirija pacha inayosafirisha mkojo kutoka kwenye figo hadi kwenye kibofu chako.…
Haya Ndio Madhara Ya Vidonda Vya Tumbo
Mgonjwa wa vidonda vya tumbo katika hatua ya kwanza asipopata tiba, tindikali nyingi iliyozalishwa tumboni hushuka na kuingia kwenye utumbo mdogo na kuharibu mfumo wa mmeng’enyo au usagaji wa chakula kwa kuwa vimeng’enyo vya utumbo mdogo hushindwa kufanya kazi kwenye mazingira ya tindikali. Hali hii husababisha kuharibika kwa uteute wa…
Pre-energy, Neotonic Ni Tiba Kwa Ajili Ya Kiwango Kikubwa Cha Lehemu (High Cholestrol)
Ugonjwa wa moyo na mishipa, ndio sababu kuu ya vifo ulimwenguni pote, unaweza kuletwa na lehemu (cholesterol) nyingi. Kama matokeo, unapaswa kutengeneza kiwango cha lehemu kwa ajili ya afya yako. Neotonic ina mchanganyiko wa viambata vya mbogamboga aina 6 na matunda aina 2, na Pre-energy ina mchanganyiko wa viambata vya…
Je, Nini Suluhisho La Madhara Ya Mlundikano Wa Mafuta Kwenye Mishipa Ya Damu?
Ugonjwa wa moyo na mishipa, ndio sababu kuu ya vifo ulimwenguni pote, unaweza kuletwa na lehemu (cholesterol) nyingi. Kama matokeo, unapaswa kutengeneza kiwango cha lehemu kwa ajili ya afya yako. Neotonic ina mchanganyiko wa viambata vya mbogamboga aina 6 na matunda aina 2, na Pre-energy ina mchanganyiko wa viambata vya…
Mlundikano Wa Mafuta Kwenye Damu (Cholestrol)
Lehemu (cholesterol) ni mafuta yenye kuganda, yenye kuonekana kama nta ambayo hupatikana kwa asili katika seli zote za mwili. Lehemu hutumika kujenga seli, kutengeneza homoni, na husaidia katika kuyeyusha chakula tumboni. Ini lako linaweza kutengeneza vyote unavyohitaji. Lakini pia lehemu hupatikana katika vyakula vya wanyama kama vile maziwa, mayai, pamoja…
Fahamu Juisi Nzuri Inayosaidia Kutibu Kiungulia
Ili kuondoa na kuzuia kiungulia, basi kunywa mara nyingi nusu bilauli ya juisi ya kuzuia kiungulia kuliko kunywa bilauri kubwa mara moja tu! Zima Moto Huu Wale wanaosumbuliwa na kiungulia hukielezea kama hisia kuwaka moto kwenye shimo la tumbo ambalo wakati fulani hupanda na kuja mpaka kwenye koo. Kwa kitaalamu…
Kwanini Maambukizi Ya UTI Husababisha Figo Na Mirija Kuharibika?
Maambukizi katika njia ya mkojo (UTI) ni maambukizi katika sehemu yoyote ya mfumo wa mkojo. Mfumo wa mkojo ni pamoja na figo, mirija inayotoa mkojo kwenye figo (ureter) mkojo, kibofu cha mkojo na mrija wa mkojo(urethra). Maambukizi mengi yanahusisha njia ya chini ya mkojo, yaani kwenye kibofu cha mkojo na…