Fahamambo Mambo 6 Yanayosababisha Tezi Dume Yako Kuvimba

Tezi dume ni tezi ndogo ambayo husaidia kutengeneza manii, nayo ipo chini kibofu cha mkojo. Mara nyingi tezi hii hupanuka na kubwa kadiri unavyozidi kuwa mzee. Tezi dume iliyovimba inaweza kusababisha dalili ambazo zinaweza kukusumbua, kama vile kuziba kwa njia ya mkojo kwenye kibofu cha mkojo. Inaweza pia kusababisha matatizo…

Fahamu Dalili 16 Za Mvurugiko Wa Homoni(Hormonal Imbalance)

Je, Homoni Ya Estrogen Ni Nini? Maisha ya mwanamke yanaweza kuelezewa kwa kupanda na kushuka au kubadilika kwa homoni mbili, estrogen na progesterone. Wakati homoni hizi zinapokuwa na uwiano sawa, basi maisha ya mwanamke huwa ni ya ajabu mno, kwani yeye huwa anakuwa na furaha muda wote katika maisha yake…

Zijue Dalili Za Uvimbe Maji Kwenye Vifuko Vya Mayai

Uvimbe maji ni mfuko wa majimaji yasio ya kawaida, kama vile malengelenge, ambayo yanaweza kujengeka katika maeneo mbalimbali ya mwili ikiwa ni pamoja kwenye ngozi, sehemu za siri na viungo vya ndani vya uzazi. Uvimbe unaweza kutofautiana kuanzia ukubwa mdogo hadi kuwa mfuko mkubwa wenye lita nyingi za majimaji. Vivimbe…

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa

Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa yanaweza kutokea kwa sababu mbalimbali kutokana na viungo vya mwili au kuwa na hofu Fulani. Watu wengi wamekuwa wakipatwa na maumivu makali wakati Fulani katika maisha yao, pale wanapoanza kujamiiana. Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana kitaalam tunaita “dyspareunia”. Ni maumivu ya muda…

Hizi Ndio Sababu Zinazopelekea Kushindwa Kupata Ujauzito.

Hali ya ugumba inatafsiriwa kama vile mwanamke kutokushika ujauzito angalau mara moja kwa mwaka  japokuwa anafanya tendo la ndoa kila mara lakini bila mafanikio. Visababishi vya ugumba wa mwanamke vinaweza kuwa vigumu sana kuvipima na kuvitambua. Zipo tiba nyingi sana ambazo zinategemeana na chanzo cha ugumba. Wanandoa wengi wenye matatizo…