VIJUE VYANZO, DALILI NA MADHARA YA MSHIPA WA NYONGA(SCIATIC NERVE).

Ugonjwa wa mshipa wa nyonga huwa ni maumivu ambayo hupenya na kuingia kwenye mshipa wa nyonga, ambao hugawanyika kutoka kiunoni na kushuka kwenye mapaja na matako kuelekea chini kwenye mguu. Kwa kawaida ugonjwa wa nyonga huathiri sehemu moja tu ya mwili wako. Ugonjwa wa nyonga mara nyingi hutokea pale pingili…

JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA?

Mwanamke anaweza kukosa raha kabisa na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni ukeni au kwa ndani zaidi. NUKUU: Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo ama baada ya tendo.  Je, Nini Humfanya Mwanamke Kuumia Wakati Wa Tendo La Ndoa? Maumivu haya…

ZIJUE DALILI 10 ZA UVIMBE KWENYE LA UZAZI(UTERINE FIBROID)

Uvimbe kwenye kizazi ni ugonjwa wa kawaida kabisa kwenye tumbo la uzazi ambao wanawake wengi wamekuwa wakiupata kwa kasi sana kuliko kawaida. Takribani asilimia 70%-80% ya wanawake wamekuwa wakipatwa na uvimbe wa fibroid mara moja au zaidi katika maisha yao hata  wafikiapo umri wa miaka 50. Hata hivyo,  uvimbe wa…

ZIJUE SABABU ZINAZOMFANYA MWANAUME KUTOKUWA NA HISIA AU HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA.

Je, Nini Kinasababisha Kuwa Na Hisia Za Chini Sana Za Mapenzi?   Hisia za chini za mapenzi humaanisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Hii ni hali ya kupoteza kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa kila inapofikia muda wa kufanya tendo la ndoa na mke au mpenzi…

ZIJUE NJIA ZA KUKUFANYA UPATE UJAUZITO HARAKA

Unapojaribu kubeba ujauzito, tendo la ndoa hupewa kipaumbele sana kuliko ujuzi. Utahitaji kufanya kila kitu kitandani ili kuongeza uwezo wa kupata ujauzito. NUKUU: Hakuna njia zilizohakikishwa kwa ajili ya kutengeneza ujauzito. Walakini kuna mabadiriko machache ambayo yanaweza kusaidia kama vile muda na mzunguko wa mapenzi yako. Je, Ni Kipindi Gani…