Uvimbe aina ya fibroid unaojitokeza kwenye tumbo la uzazi umekuwa ukienea kwa kasi sana kwa wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa kuliko wale wanaokaribia umri wa vipindi vya hedhi kukoma. Tiba za asili zimekuwa zikisaidia sana kuondoa tatizo hili bila kutumia upasuaji. Je, Dalili Za Uvimbe Aina Ya…
ZIJUE FAIDA ZA REDEEMER KATIKA MAGONJWA YA UZAZI
James Herbal Clinic tuna dawa za mimea ya asili zenye mchanganyiko wa vyakula vya asili. Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu na ya kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote. Kwa kawaida dawa ya…
JE, MWANAMKE UNAWEZA KUENDELEA KUFANYA TENDO LA NDOA BAADA YA KUPATA UJAUZITO?
Hakuna sababu ya kukufanya uache kufanya tendo la ndoa kwakuwa umeshapata ujauzito, isipokuwa tu kama utakuwa umepewa maelekezo na daktari wako. Mtoto wako anakuwa amelindwa vizuri majiamji ya amniotic ndani ya mfuko wako wa uzazi ambayo humzunguka mtoto. Hivyo tendo la ndoa au kufika kileleni mwanaume au mwanamke hakutaleta madhara…
JE, UNAJUA CHANZO CHA KUTOKWA NA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI(MENORRHAGIA)? JE, NINI MADHARA YAKE?
Hali ya mwanamke kutokwa na damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi, kitaalamu huitwa ‘Menorrhagia’. Ingawa hali ya kutokwa na damu nyingi huonekana kama jambo la kawaida kwa baadhi ya wanawake, lakini wengi wao huwa hawapatwi na hali ya kuishiwa damu. NUKUU: Lakini inaonekana kuwa, mwanamke unapopatwa na tatizo…
JE, NINI HUSABABISHA UGUMBA KWA MWANAUME?
Takribani asilimia 15% ya wanandoa ni wagumba. Hii inamaanisha kwamba hawana uwezo wa kuzaa mtoto, ingawa wamekuwa wakifanya tendo la ndoa miaka mingi bila kutumia kinga. Zaidi ya theruthi ya wanandoa hawa, tatizo la ugumba kwa wanaume ndilo limekuwa likionekana. Ugumba wa mwanaume hutokana na uzarishaji mdogo wa mbegu, utendaji…
JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU UKENI BAADA YA TENDO LA NDOA?
Mwanamke kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa ni jambo la kawaida. Ingawa mara nyingi huitwa kutokwa na damu ukeni, lakini mara nyingi hali ya kutokwa na damu kwa wanawake wenye umri mdogo hutokea kwenye mlango au shingo ya kizazi. Hata hivyo maeneo mengine ya sehemu za siri za…
JE, UNAZIFAHAMU FAIDA ZA PHYTO-RESPIRATORY?
PHYTO-RESPIRATORY ni dawa ya kimiminika yenye mchanganyiko wa mimea ya asili ya matunda na mbogamboga. Nayo ina wingi wa vitamin na madini mbalimbali, kwani ina uwezo wa kuua virusi, bakteria na vimelea mbalimbali mwilini mwako na kuukarabati kwa kuusafisha kundoa vimelea vilivyojificha katika damu na kwenye viungo vya mfumo wa…
JE, WAJUA CHANZO CHA UVIMBE KWENYE MRIJA USAFIRISHAO MBEGU ZA MWANAUME KUTOKA KWENYE KORODANI(SPERMATOCELE)?
Uvimbe unaojitokeza kwenye mrija unaosafirisha mbegu za mwanaume huwa ni mbaya mno. Kwa kawaida huwa sio salatani na hauna maumivu. Uvimbe huu mara nyingi kwa ndani huwa umejaa majimaji kama maziwa hivi ambayo yanaweza kuwa na mchanganyiko wa shahawa. Kisababishi chake halisi hakijafahamika bado, lakini yawezakusababishwa na kuziba kwa mrija…
UJUE UVIMBE WA FIBROID AINA YA SUBSEROSAL. JE, NINI DALILI ZAKE?
Takribani asilimia 33% ya wanawake hupatwa na tatizo la uvimbe kabla hawajafikia umri wa miaka 50. Haijalishi ni watu wengi kiasi gani wanaoathiriwa na tatizo hili, lakini bado inaonyesha tu kuwa watu mbalimbali wamekuwa wakipatwa na uvimbe wa fibroid aina tofautitofauti. Baadhi ya wanawake kamwe hawatambui hata dalili za uvimbe,…
JE, NI KWELI UVIMBE WA FIBROID UNAWEZA KUPUNGUZA UWEZO WA MWANAMKE KUPATA UJAUZITO?
Takribani asilimia 5%-10% ya ugumba kwa wanawake hutokana na uvimbe wa fibroid kwenye kizazi. Ukubwa wa uvimbe pamoja na eneo ulipojikita inaonyesha kabisa kuwa huathiri uwezo wa mwanamke kupata ujauzito. Kwa mfano uvimbe wa fibroid unaokuwa ndani ya uwazi wa mfuko wa kizazi(submucosal) au unaweza kuwa mkubwa sana(tuchukulie sentimita 6)…