Uchafu unaotoka ukeni huwa ni kitu kingine zaidi ya mzunguko wa hedhi, ambao wanawake huuona na kuanza kujiuliza ni kitu gani kinasababisha katika miili yao. Kama mizunguko yako ya hedhi sio ya kubadirika na inakuja kwa muda muafaka, na uchafu unaotoka ukeni ni wa kawaida, basi bila shaka utajisikia mwili…
VIJUE VISABABISHI VYA MAUMIVU KWENYE NYONGA?
Je, Nini Maana Ya Maumivu Ya Nyonga? Kama una maumivu maeneo ya chini ya tumbo lako au juu ya miguu yako, inahesabika kama maumivu ya nyonga. Hali hii inaweza kusababishwa na mambo mengi sana. Inaweza kuwa dalili isiyokuwa na madhara kwamba una uwezo wa kubeba ujauzito, tatizo katika umeng’enyaji…
ZIJUE DALILI ZA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA HOMONI(HORMONAL IMBALANCE).
Je, Dalili Zake Zinakuwaje? Kwa kawaida dalili zake huwa ni tumbo kuunguruma, kuhisi uchovu wa mwili, nywele kunyonyoka, moyo kupepesuka, kukosa hamu ya tendo la ndoa, matatizo ya sukari kwenye damu, ugumba, nk. Hizo ni dalili chache tu nimependa kukuelezea juu ya kutokuwa na uwiano sawa wa homoni(hormonal imbalance).…
JE, NINI HUMFANYA MWANAUME KUWAHI KUFIKA KILELENI?
Hali ya kuwahi kufika kileleni hujitokeza pale mwanaume anapowahi kutoa shahawa mapema zaidi kabla mwenzi wake hajawa tayari wakati wanapofanya tendo la ndoa. Hili pia limekuwa ni chanzo cha matatizo katika ndoa. Tukiangalia tunaona katika wanaume 3, mmoja anaweza kuwa na tatizo hili. Kadiri tatizo hili linavyozidi kuonekana mara kwa…
VIJUE VYANZO VYA UVIMBE KWENYE VIFUKO VYA MAYAI YA MWANAMKE(OVARIAN CYSTS). JE, DALILI ZAKE NA MADHARA YAKE YANAKUWAJE?
Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst. Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote ule na mara nyingi huonekana kwa wanawake waliofikia…
SABABU 14 ZA VIPINDI VYA HEDHI KUBADIRIKA
Je, Nini Husababisha Vipindi Vya Hedhi Kubadirika? Mzunguko wa hedhi huhesabiwa kuanzia siku ya kwanza kipindi cha hedhi kinapoanza. Hedhi yako inakuwa yenye kubadirika ikiwa kama ina siku 38 au kama kuchelewa kwake hutofautiana. Vipindi vya hedhi kubadirika vinaweza kuwa na visababishi vikubwa, kuanzia hali ya kutokuwa na uwiano…
JE, NINI CHANZO NA DALILI ZA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME? JE, NINI MADHARA YAKE?
Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokuwa na uwezo wa kudindisha au kusimamisha uume kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa. Uume unapokuwa unadindisha vizuri halafu siku zingine unaishiwa nguvu, hilo linaweza lisiwe tatizo sana. Lakini kama upungufu wa nguvu za kiume utakuwa tatizo endelevu, hata hivyo unaweza kusababisha msongo…
JE, UVIMBE KATIKA TUMBO LA UZAZI UNAWEZA KUSABABISHA MIMBA KUTOKA AU KUPOROMOKA?
Na ieleweke kuwa, uvimbe ni bonge la tishu ambalo huota ndani ya ukuta wa mfuko wa kizazi(uterus). Fibroid huwa sio kitu cha kawaida kabisa; kwani tukiangalia asilimia 50% ya wanawake hivi sasa wamekuwa wakipatwa na matatizo ya uvimbe wa fibroid. Lakini kumbuka kwamba uvimbe aina ya fibroid mara nyingi huendelea…
JE, NINI HUSABABISHA MWANAMKE KUPATA HEDHI YA SIKU 2 TU KISHA INAKATA? JE, NINI DALILI ZAKE?
Kipindi cha mzungo wa hedhi hutofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja kwenda kwa mwingine. Hata kwa mwanamke mmoja mzunguko wa hedhi unaweza ukawa sawa lakini baadaye ukawa tofauti. Mzunguko wa kawaida wa hedhi huwa ni kuanzia siku 28-35 na hujitokeza ovyo ovyo majuma mawili baada ya yai kupevuka. Kila mwanamke mwenye…
JE, WAJUA CHANZO NA DALILI ZA MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA WANAUME?
Tatizo hili huwakumba wengi katika jamii yetu lakini kwa bahati mbaya watu wengi huchukulia ni jambo la kawaida kitu ambacho baadaye hupelekea watu wengi kuingia kwenye matatizo makubwa ya ki afya hasa kwenye mfumo wa uzazi na wa chakula. NUKUU: Yapo yale ya chini ya kitovu katikati, kushoto na kulia.…