JE, UNAJUA VISABABISHI VYA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI? ZIJUE AINA NA UCHAFU UTOKAO UKENI.

Kutokwa na uchafu ukeni mara nyingi huwa ni tukio la kawaida kabisa. Hata hivyo huwa kuna aina mbalimbali za uchafu ambazo zinaweza kuonyesha maambukizi. Uchafu usiokuwa wa kawaida unaweza kuwa wa kijani au njano na wenye harufu mbaya. Uchafu usio wa kawaida mara nyingi husababishwa na fangasi ama maambukizi ya…

JE, UNAYAJUA MADHARA YA UGONJWA WA PID IKIWA KAMA HAUTAZINGATIA MATIBABU YAKE?

Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi(PID) ni maambukizi ya mirija ya mayai(fallopian tubes), vifuko vya mayai(ovaries), mfuko wa kizazi(uterus) pamoja na shingo ya kizazi(cervix). Ugonjwa huu usipotibiwa unaweza kusababisha makovu ama tishu kuoteana ikiwa na mkusanyiko wa ute mchafu kama vile usaha kwenye mirija ya mayai, na hivyo kuharibu…

JE, UNAFAHAMU VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA HOMA YA INI(HEPATITIS A)?

Kuna aina tofauti za ugonjwa wa homa ya ini ambao kitaalamu wanaita, “Hepatitis”, yaani Hepatitis A, B, C, nk ambao unaweza kutofautiana kila mmoja lakini magonjwa yote haya huonyesha uvimbe wa seli za ini. Virusi hivi ni moja ya aina mbalimbali za virusi vya homa ya ini ambavyo husababisha uvimbe…

YAFAHAMU MAMBO MATANO(5) YANAYOMFANYA MWANAMKE KUHISI MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA(DYSPAREUNIA)

Tendo la ndoa kwa kawaida huwa ni lenye kuleta furaha na starehe kubwa pale mume na mke wanapokutana.  Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, katika wanawake wanne, mmoja anaweza kuhisi maumivu wakati wa anapofanya tendo la ndoa. Na hali hiyo inaweza kusababisha usumbufu mkubwa, na utakuta kwamba wanawake wengi hufikia…

JE, UNAJUA SABABU YA KUOTA VIVIMBE VIDOGOVIDOGO KATIKA TUMBO LA UZAZI(ENDOMETRIOSIS)?

Ndugu msomaji, baadhi ya wanawake wanaposumbuka na matatizo ya tumbo muda mrefu, waendapo kupima, hupewa majibu ya kadi zao, “Endometriosis”. Ukuta wa ndani wa kifuko cha uzazi unaitwa ‘endometrium.’ Ukuta huu hujengeka na kubomoka kila mwezi na kusababisha hedhi kwa wanawake. Kujengeka na kubomoka kwa ukuta huu wa ndani wa…

TOFAUTI KATI YA UCHAFU WA KAWAIDA NA USIO WA KAWAIDA UTOKAO UKENI.

Baadhi ya uchafu utokao ukeni huwa ni ishara ya kuonyesha afya ya uke wako. Je, unafahamu tofauti iliyopo kati ya uchafu wa kawaida na usio wa kawaida utokao ukeni?  Kutokwa na uchafu ukeni ni sehemu ya asili ya kuwa mwanamke, lakini wakati mwingine mabadiriko ndani yake yanaweza kuonyesha tatizo fulani.…

JE, UNAJUA KAZI YA VIFUKO VYA MAYAI VYA MWANAMKE KATIKA MFUMO WAKE WA UZAZI?

Vifuko vya mayai hutengeneza mfumo wa uzazi wa mwanamke. Kila mwanamke ana vifuko vya mayai viwili. Vifuko hivi vina umbo la yai, lenye sentimita nne kwa urefu, na hulala kwa upande wa tumbo la uzazi pembeni mwa ukuta wa nyonga. NUKUU: Na ieleweke kuwa vifuko vya mayai huwa vimeshikiliwa sehemu…

JE, UNAJUA NINI KINASABABISHA MBEGU ZA MWANAUME KUWA CHACHE NA KUSHINDWA KUMPA UJAZUTO MWANAMKE? JE, DALILI ZAKE ZINAKUWAJE?

Mbegu za mwanaume zinapokuwa chache maana yake ni kwamba uteute(manii) ule unaoutoa wakati unapofika kileleni huwa unakuwa na mbegu chache kuliko kawaida.   Mbegu chache za mwanaume kitaalamu huitwa “oligospermia”, bila shaka unapoenda hata kupima au kufanya uchunguzi juu ya tatizo hili, utaona kwenye kadi yako yameandikwa maneno kama hayo.…