Ute ute utokao kwenye mlango wa kizazi hutajwa kwa majina mengi, lakini kuja kuutambua jinsi unavyobadirika katika mzunguko wako wote wa hedhi, na nini kinachoufanya ubadirike, na ukishagundua maana yake kabisa, utakuwa umeshapata somo kubwa tena lenye nguvu. NUKUU: Hapo chini kuna picha nimeonyesha jinsi uteute huo unavyobadirika ndani ya…
JE, NINI KINACHOMFANYA MWANAMKE KUPATA HEDHI MARA 2 NDANI YA MWEZI MMOJA?
Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi huwa sio hali ya kawaida ya mzunguko wa hedhi kwa mwanamke. Hali hii inaweza kujitokeza kwa kutokwa na matone ya damu baada ya kutoka hedhini, na mara nyingi mwanamke hali hii anaweza kuiona akiwa chooni baada ya kujitawaza au kujipangusa, au anaweza akatokwa na…
JE, UNAJUA HALI YA MWANAMKE KUTOKUPATA UJAUZITO(UGUMBA) INAVYOWEZA KUPIMWA NA IKAGUNDULIKA?
Je, Unaweza Ukapimwaje? Ikiwa kama ulikuwa huwezi kupata ujauzito kwa muda mrefu, basi nakushauri utafute msaada kwa daktari katika hospitali za wilaya au mkoa ili kutathimini hali yako ya ugumba. Baada ya vipimo, basi unaweza ukafika James Herbal Clinic kwa ajili yatiba za asili. Vipimo vinavyotumika ili…
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?
Na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa…
JE, NINI MAANA YA UPEVUSHAJI?
Upevushaji ni pale yai linapotolewa kwa ajili ya kurutubishwa. Kufahamu muda wako wa yai kupevuka ni njia mojwapo itakayo kusaidia kupata ujauzito kwa urahisi. Yapo mabadiriko ya kimwili ambayo mwili wako huyapata kabla yai halijapevuka ili kwamba uweze kutambua vizuri kuwa ni wakati gani mwanaume unaweza kukutana na mke au…
JE, UNAJUA SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE WENGI KUTOKUSHIKA UJAUZITO?
Hali ya ugumba inatafsiriwa kama vile mwanamke kutokushika ujauzito angalau mara moja kwa mwaka japokuwa anafanya tendo la ndoa kila mara lakini bila mafanikio. NUKUU: Visababishi vya ugumba wa mwanamke vinaweza kuwa vigumu sana kuvipima na kuvitambua. Zipo tiba nyingi sana ambazo zinategemeana na chanzo cha ugumba. Wanandoa wengi wenye…
JE, NINI HUSABABISHA KUTOKWA NA UTE UTE UKENI BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA?
Ute ute huwa ni mchanganyiko wa majimaji ambao hutoka ukeni au kwenye uume. Watu wanaweza kuona ute au majimaji kabla, au baada ya tendo la ndoa au wakati wa kufanya tendo la ndoa. Ute unaoonekana ukeni au kwenye uume, huwa hauna kiwango maalum. Kwa mwanaume, uume wenye afya hutoa ute…
JE, MWANAMKE UNAWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA HUKU UKIWA NA MAAMBUKIZI YA UTI?
Maambukizi katika njia ya mkojo mara nyingi huja na maswali mengi mno, yakiwemo haya; Je, unaweza kufanya tendo la ndoa huku ukiwa na maambukizi ya UTI? Na je, vipi kuhusu kufanya tendo la ndoa huku ukiwa na maambukizi ya UTI wakati unapotumia tiba? NUKUU: Kila mmoja anaweza kukubari kwamba maambukizi…
JE, MAGONJWA YA ZINAA NA UJAUZITO KUNA MADHARA GANI?
Magonjwa ya zinaa huwa ni maambukizi ambayo huenea kwa kufanya ngono na mtu mwenye maambukizi hayo. Unaweza ukapata magonjwa ya zinaa pia kwa mdomo, njia ya haja kubwa au sehemu za siri. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa huwa ni magonjwa mabaya ambayo huhitaji matibabu, haijarishi wewe ni mjamzito au sio…
JE, UNAJUA VISABABISHI VYA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI? ZIJUE AINA NA UCHAFU UTOKAO UKENI.
Kutokwa na uchafu ukeni mara nyingi huwa ni tukio la kawaida kabisa. Hata hivyo huwa kuna aina mbalimbali za uchafu ambazo zinaweza kuonyesha maambukizi. Uchafu usiokuwa wa kawaida unaweza kuwa wa kijani au njano na wenye harufu mbaya. Uchafu usio wa kawaida mara nyingi husababishwa na fangasi ama maambukizi ya…