JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SHINGO YA KIZAZI KUVIMBA? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?

Uvimbe aina ya cervicitis kwa kawaida huwa ni uvimbe unaojitokeza kwenye mlango au shingo ya kizazi, mwishoni kabisa mwa eneo finyu la chini ya mji wa mimba(uterus), ambalo huacha uwazi ndani ya uke. Dalili zinazojitokeza mara kunapokuwapo na hali ya uvimbe huwa ni kutokwa na damu kabla ya muda wa…

JE, NINI CHANZO CHA KUONGEZEKA KWA MAJIMAJI NDANI YA KONDO WAKATI WA UJAUZITO (POLYHYDRAMNIOS)? JE, NINI DALILI ZAKE?

  Polyhydramnios ni tatizo ambalo hujitokeza wakati majimaji mengi yanapokusanyika ndani ya mfuko wa kizazi wakati wa ujauzito. Neno Polyhydramnios ni kinyume cha neno Oligohydramnios ambalo humaanisha kuwa kuna majimaji kidogo sana kwenye kondo la mwanamke wakati wa ujauzito.   NUKUU: Kwenye tatizo la Polyhydramnios, hukusanyika majimaji mengi kwenye mfuko…

JE, UNAWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA HUKU UKIWA NA MAAMBUKIZI YA UTI?

Maambukizi katika njia ya mkojo mara nyingi huja na maswali mengi mno, yakiwemo haya; Je, unaweza kufanya tendo la ndoa huku ukiwa na maambukizi ya UTI? Na je, vipi kuhusu kufanya tendo la ndoa huku ukiwa na maambukizi ya UTI wakati unapotumia tiba? NUKUU: Kila mmoja anaweza kukubari kwamba maambukizi…

YAJUE MADHARA YA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA KATIKA VIA VYA UZAZI(PELVIC INFLAMMATORY DISEASES) AU PID.

Madhara kutokana na maambukizi ya PID ambayo hayajatibiwa yanaweza kuchukua miaka mingi kuendelea. Matokeo ya tatizo hili yanaweza kuwa yenye maumivu makali. Yanaweza pia kusababisha uharibifu wa kudumu katika viungo vya uzazi. Madhara yanaweza kusababisha hali ya ugumba. Mwanamke anapokaa muda mrefu na ugonjwa bila kutibiwa, ndipo nafasi kubwa ya…

JE, JINSI GANI UVIMBE KWENYE MFUKO WA KIZAZI HUATHIRI UJAUZITO PAMOJA NA UWEZO WA KUPATA UJAUZITO?

Fibroids sio salatani bali ni vivimbe amvavyo huota ndani au nje ya mfuko wa kizazi(uterus) au mji wa mimba. Vivimbe vinaweza kushambulia ujauzito au kuondoa kabisa hali au uwezo wa kupata ujauzito. NUKUU: Vivimbe kwenye kifuko cha uzazi huwa ni vya kawaida kabisa. Tukiangalia asilimia 20%-80% ya wanawake wamekuwa wakipatwa…

JE, NINI TOFAUTI KATI YA MAAMBUKIZI YA KISONONO NA PANGUSA?

Ujue Ugonjwa Wa Kisonono Na Pangusa.       Pangusa(Chlamydia) na kisonono(Gonorrhea) huwa ni maambukizi ya magonjwa zinaa yanayosababishwa na baketria. Nayo yanaweza kuambukizwa kwa kujamiiana au kwa kunyonyana ulimi. Dalili za magonjwa haya mawili ya zinaa zinafana, hivyo kama una moja ya dalili hizo, wakati mwingine huwa ni vigumu…

JE, NINI TOFAUTI KATI YA MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI NA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO AU UTI?

Je, Nini Tofauti?         Kama ukipata masumbufu katika njia za siri au wakati unapokojoa, tambua kuwa una maambukizi. Aina mbili za maambukizi ambazo kwa kawaida huathiri maeneo haya huwa ni maambukizi katika njia ya mkojo au UTI pamoja na maambukizi ya fangasi. Aina hizi za maambukizi huwapata…