Neotonic ni dawa ya kimiminika yenye mchanganyiko wa mimea ya asili ya matunda na mbogamboga. Virutubishi vyake ni vingi mno siwezi kuvielezea na atakayevichambua basi, bila shaka ataweka na uongo. Hayo yote tunamwachia Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyeumba mimea hiyo, anajua alivyofanya kazi na anavyofanya kazi kwa wagonjwa kupitia mimea hiyo.…
JE, NINI CHANZO NA DALILI ZA MAUMIVU KABLA AU WAKATI HEDHI? JE, NINI MADHARA YAKE.?
Maumivu wakati wa hedhi huwa maumivu ya mkazo fulani maeneo ya tumbo la chini. Wanawake wengi wanapatwa na tatizo la maumivu kabla au wakati wanapoingia hedhini. Baadhi ya wanawake hali hii inapojitokeza kwao huwapa usumbufu mkubwa mno na inawakera. Wengine hali ya maumivu wakati wa hedhi inaweza kuwa mbaya zaidi…
JE, NINI DALILI ZA KUKARIBIA KUKOMA HEDHI?
Hali ya kukaribia kukoma hedhi huonekana katika dalili zake, nayo huja ili kuomuonyeshea muhusika kuwa sasa uwezo wa kuzaa umefikia mwisho. Wanawake huanza kukoma hedhi katika umri tofautitofauti. Unaweza ukaona dalili zinazoelekeza kuwa unafikia kukoma hedhi, kama vile vipindi vya hedhi kubadirika badirika, wakati mwingine unapofikisha umri wa miaka 40.…
JE, KUHISI MAUMIVU AU HALI YA KUWAKA MOTO WAKATI WA KUKOJOA(DYSURIA) HUMAANISHA NINI?
Maambukizi ya bakteria pamoja na uvimbe huwa visababishi vya kawaida vya hali ya kushisi kuwaka moto au maumivu wakati unapokojoa. Hali ya kuhisi moto au maumivu wakati unapokojoa inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali yanayopelekea kuwapo kwa hali ya kawaida au mbaya kabisa katika afya ya mwili wako. NUKUU: Maumivu…
JE, VIPIMO VYA ASIDI YA YUREA(URIC ACID) VINAKUWAJE?
Mwili wako hufanya kazi muda wote. Hata kama umelala, damu yako husafiri kila mahali, ubongo wako hushughulika masaa yote, na tumbo lako la chakula hupumzika ifikapo mida ya usiku unapokuwa umepumzika kitandani mwako. NUKUU: Unapokula kitu chochote, mwili wako huchambua vitu vizuri vyenye faida mwilini mwako kama vile protini na…
JE, UNAFAHAMU HOMONI(HORMONE) YA PROGESTERONE INA KAZI GANI KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE?
Homoni ya progesterone hutengenezwa na mfumo wa uzazi wa mwanamke ambayo hufanya kazi hasa kwa ajili ya kujenga na kurekebisha hali ya ukuta wa ndani wa mfuko wa uzazi(uterus). Homoni ya progesterone huzarishwa na vifuko vya mayai(ovaries), kondo(placenta), pamoja na tezi za adranali. Ndani ya vifuko vya mayai(ovaries) mahali…
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?
Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za…
RANGI YA UTE AU UCHAFU UNAOTOKA ILI KULINDA MAENEO YA UKE
Ni kawaida kushangaa endapo kama rangi au uchafu unatoka mara kwa mara ukeni kuwa ni wa kawaida au unahitaji kuchunguzwa. Uchafu utokao ukeni unaweza kuwa na rangi nyingi, na viashiria mbalimbali ili kuonyesha kuwa mwili una afya. Katika makala hii tunaenda kujifunza ili tujue je, ute unalinda maeneo ya uke…
JE, NINI CHA KUTEGEMEA UNAPOKUWA MJAMZITO HALAFU UNA UVIMBE TUMBONI?
Uvimbe wa fibroid huanza kumuandama mwanamke pale anapokuwa katika umri kuzaa watoto. Kwa asili uvimbe wa fibroid huwa sio saratani, lakini unaweza ukatokea katika viwango fulani vya maumivu pamoja na madhara mengine kwa mwanamke. NUKUU: Kwakuwa uvimbe wa fibroid huendelea kukua ndani ya mfuko wa uzazi(uterus), hivyo ni rahisi sana…
JE, NINI HUSABABISHA VIPINDI VYA HEDHI KUBADILIKA?
Ieleweke hivi, ingawa mzunguko wa hedhi wa wastani huwa siku 28, lakini unaweza kuonekana pia siku 24 au kila baada ya siku 34. Baada ya kubalehe, wanawake wengi huwa na mzunguko wa hedhi usiobadirika hata kidogo; lakini baadhi yao hubaki katika mzunguko wenye tabia ya kubadirika badirika. NUKUU: Kutokwa damu…