Ieleweke hivi, ingawa mzunguko wa hedhi wa wastani huwa siku 28, lakini unaweza kuonekana pia siku 24 au kila baada ya siku 34. Baada ya kubalehe, wanawake wengi huwa na mzunguko wa hedhi usiobadirika hata kidogo; lakini baadhi yao hubaki katika mzunguko wenye tabia ya kubadirika badirika. NUKUU: Kutokwa damu…
JINSI UNAVYOWEZA KUONGEZA NGUVU YA VICHOCHEO(HORMONE) KATIKA MFUMO WAKO WA UZAZI
Kama unakuwa na muda mgumu wa kupata ujauzito, basi tulia, Jame & Ferdinand Herbal Clinic tutakusaidia. Kwanza kabisa kumbuka kuwa, inamchukua mwanamke miezi 4-6 kubeba ujauzito mara anapomaliza kufunga ndoa. Anapomaliza mwaka mzima hajapata ujauzito, basi inaonyesha kuwa ana asilimia 85-95% ya kuwa na nafasi ya kupata ujauzito…
JE, UNAYAFAHAMU MADHARA YA PUNYETO KWA MWANAUME NA MWANAMKE?
Kupiga punyeto au kujichua kunaweza kuleta madhara makubwa katika mwili wako, nikimaanisha kwa mwanaume na mwanamke pia. Kitendo cha kujichua au kupiga punyeto huonekana kama uovu kabisa kwa mtu mwenye imani ya dini yoyote. Unaweza ukaona hapo juu jinsi wanaume wanavyokuwa na tabia ya kuwa na mazoea ya kupiga punyeto.…
JE, UNAJUA KAZI ZA KORODANI ZAKO?
Korodani huwa ni viungo vya uzazi vya mwanaume, nazo huwa zina kazi mbili muhimu sana kwa ajili ya mfumo wa uzazi wa mwanaume; kwani huzarisha mbegu za uzazi(shahawa) na hutengeneza vichocheo au homoni. Je, Korodani Zina Muonekano Gani? Korodani huwa ni zenye umbo la mviringo,…
JE, NINI SABABU YA UKE KUWA MKAVU?
Hali ya ukavu ukeni inaweza kuwa tatizo kwa wanawake katika umri wowote, ingawa hujitokeza zaidi mara kwa mara kwa wanawake wenye umri mkubwa, hasa pale wanapofikia ukomo wa hedhi. Kupungua kwa viwango vya vichcocheo(hormone) huwa ndio sababu kuu ya kukauka kwa uke. Homoni za mwanamke husaidia sana kuutunza…
JE, UNAZIFAHAMU DALILI 9 ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI AMBAZO WANAWAKE WENGI HUSHINDWA KUZITAMBUA?
NUKUU: Kupima na kutambua tatizo lako la uvimbe kwenye mayai ni jambo la muhimu sana kwa ajili ya tiba, lakini wakati mwingine huwa ni rahisi sana kushindwa kuzigundua dalili hizi. Sasa hebu tuangalie jinsi zinavyokuwa: Hivi leo tunaona idadi kubwa ya wanawake wamekuwa wakiathiriwa sana na ugonjwa wa uvimbe…
JE, UVIMBE KATIKA UZAZI(FIBROIDS) WAWEZA KUWA TATIZO KWA MUHUSIKA?
Atukuzwe Mungu wetu wa Mbinguni! Karibuni katika kipindi chetu cha semina ya afya juu ya magonjwa ya uvimbe tumboni. Kwanini matatizo haya yanatokea kwa kasi na jinsi gani unaweza kuyatibu na kujikinga nayo. Leo nitazungumzia juu ya uvimbe katika mfuko wa uzazi(Fibroid). NUKUU: Uvimbe katika mfuko wa uzazi…
JE, KWANINI TUMBO KUUMA WAKATI WA HEDHI, KABLA AU BAADA YA HEDHI ?
Wanawake wengi hupatwa na hali ya tumbo kuuma kama vichomi fulani kabla au wakati wanapokuwa katika mzunguko wa hedhi. Walaki pia mwanamke anaweza kupatwa na change la tumbo. Maumivu ya tumbo baada ya hedhi kitaalamu tunaita, “secondary dysmenorrheal”. Huwa ni hali ya kawaida kwa mwanamke anapofikia umri mkubwa. Tutaielezea…
JE, UNAZIFAHAMU DALILI 9 ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI AMBAZO WANAWAKE WENGI HUSHINDWA KUZITAMBUA?
NUKUU: Kupima na kutambua tatizo lako la uvimbe kwenye mayai ni jambo la muhimu sana kwa ajili ya tiba, lakini wakati mwingine huwa ni rahisi sana kushindwa kuzigundua dalili hizi. Sasa hebu tuangalie jinsi zinavyokuwa: Hivi leo tunaona idadi kubwa ya wanawake wamekuwa wakiathiriwa sana na ugonjwa wa uvimbe kwenye…
JE, UNAJUA NINI KINACHOMFANYA MWANAUME KUWA NA TATIZO LA KIWANGO KIDOGO CHA MBEGU(LOW SPERM COUNT)?
Kiwango kidogo cha mbegu maana yake ni ute(shahawa) anazokojoa mwanaume katika mshindo(orgasm) wenye mbegu kidogo kuliko kawaida. Kiwango kidogo cha mbegu kitaalam tunaita “ oligospermia”. Kutokuwa na kiwango cha mbegu kabisa, kitaalamu tunaita “Azoospermia.” Kiwango chako cha mbegu kinaonekana kidogo kuliko kawaida ikiwa kama una mbegu chache kiasi cha milioni…