Ni salama kabisa kwa mwanamke kuendelea kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito wake endapo tu kama daktari au mkunga wake atakuwa amemwambia mambo mengine kama ushauri. Kusema kweli, tendo la ndoa kwa mwanamke linaweza kuongezeka katika hatua Fulani za ujauzito, na tendo la ndoa linaweza kuwa na baadhi ya…
JE, KWANINI TUMBO KUUMA KABLA , BAADA AU WAKATI WA HEDHI ?
Wanawake wengi hupatwa na hali ya tumbo kuuma kama vichomi fulani kabla au wakati wanapokuwa katika mzunguko wa hedhi. Walakini pia mwanamke anaweza kupatwa na chango la tumbo. Maumivu ya tumbo baada ya hedhi kitaalamu tunaita, “secondary dysmenorrheal”. Huwa ni hali ya kawaida kwa mwanamke anapofikia umri mkubwa. Tutaielezea…
JE, UCHAFU UNAOTOKA UKENI UNAWEZA KUKUZUIA USIPATE UJAUZITO?
Wanawake wengi hushindwa kujali wanapotokwa na uchafu, isipokuwa tu wanakerwa mara wanapoona nguo ya ndani au chupi kuwa imechafuka. Lakini kumbuka kuwa hali ya kutokwa na uchafu wa kawaida huonyesha kabisa kuwa uko tayari kupata ujauzito. Utoko au uchafu unaotoka ukeni hubadirika wakati wa mzunguko wako wa hedhi, na kama…
JE, UNAFAHAMU NINI JUU YA UKE KUWA MPANA?
Misuli ya uke inayotanuka inaweza kupanuka na kurudi katika umbo lake la kawaida. Wakati umri unavyozidi kuwa mkubwa na baada ya kuzaa mtoto, misuli inayozunguka uke inaweza kuwa yenye nguvu sana. Je, Misuli Ya Uke Inayozunguka Maeneo Ya Nyonga Inakuwaje? Misuli hii inaweza ikalegea kwa…
JE, VIPINDI VYA HEDHI KUBADILIKA YAWEZAKUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE?
Matatizo endelevu katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kama vile, hisia ya mapenzi au hamu ya kufanya tendo la ndoa, kufika kileleni au kuhisi maumivu wakati wa kufanya tendo tendo la ndoa, ambayo yanamsumbua mwanamke au kuharibu mahusiano na mwenzi wako, yanajulikana kama kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la…
JE, UNAJUA CHAKULA UNACHOTAKIWA KUTUMIA WAKATI WA UJAUZITO?
Je, lishe wakati wa ujauzito humaanisha nini? Tunaposema lishe wakati wa ujauzito, hatuzungumzii juu ya kujizuia kula vyakula vyenye wingi wa calories au kujaribu kupunguza uzito wa mwili. Lishe ya kupunguza uzito wakati wa ujauzito inaweza kusababisha hatari au madhara kwako wewe mwenyewe au mtoto aliyemo tumboni, hasa pale uzito…
JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SHINGO YA KIZAZI KUVIMBA? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
Uvimbe aina ya cervicitis kwa kawaida huwa ni uvimbe unaojitokeza kwenye shingo ya kizazi, mwishoni kabisa mwa eneo finyu la chini ya mfuko kizazi(uterus), ambalo huacha uwazi ndani ya uke. NUKUU: Dalili zinazojitokeza mara kunapokuwapo na hali ya shingo ya uzazi kuvimba huwa ni kutokwa na damu kabla ya muda…
JE, UNAJUA VYANZO VYA NYONGA KUUMA? JE, NINI MADHARA YAKE?
Maumivu ya nyonga huwa ni maumivu sehemu ya tumbo la chini pamoja na nyonga zenyewe. Kwa wanawake, maumivu ya nyonga yaweza kuwa viashiria au dalili za matatizo yaliyoko kwenye mfumo wa uzazi, mfumo wa mkojo au mfumo wa usagaji chakula au mifupa pia. NUKUU: Kulingana na chanzo chake, maumivu ya…
MZUNGUKO WA HEDHI: JE, UPI NI WA KAWAIDA NA UPI SIO WA KAIDA?
Mzunguko wako wa hedhi unaweza kuonyesha mambo mengi juu ya afya ya mwili wako. Sasa leo naomba uelewe jinsi ya kuanza kuhesabu mzunguko wako wa hedhi na jinsi gani unaweza kufanya pale mzunguko wa hedhi unapobadirika. Je, unafahamu ni lini kipindi chako cha hedhi kilianza au ni muda gani hedhi…
JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE AU MWANAUME KUCHELEWA KUPATA MTOTO?
Katika suala zima la ugumba kwa mwanaume na mwanamke lazima kuwepo na vigezo vya uchunguzi. Kwa mwanamke mambo ya kuangalia ni historia yake katika matumizi ya madawa ya tiba alipokuwa mdogo au hata kama mama yake aliwahi kutumia aina fulani za madawa wakati wa ujauzito. Wataangalia kama ulivunja ungo kwa…