JE, WAJUA JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA JINSI YA KUJUA SIKU ZAKO ZA HATARI?

Je, Mwanamke, Wajua Siku Zako Hatari Ni Zipi? Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo. Je, Utazijuaje Siku Hizo? Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi…

JE, KUTOKWA NA UCHAFU WENYE MAJIMAJI UKENI WAKATI WA UJAUZTO NI JAMBO LA KAWAIDA?

Wanawake wajawazito hupatwa na msongo wa mawazo sana kwa vitu vidogo vidogo tena vya kawaida mno.  Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea kutokwa na uchafu wenye majimaji ukeni wakati wa ujauzito. Baadhi ya sababu hizi ni za kawaida kabisa wala hazina madhara, lakini zingine zipo zinaweza kuonyesha viashiria vya hatari, nawe…

JE, UGONJWA WA MALENGELENGE(TRICHOMONIAS) WAWEZA KUWA CHANZO CHA PID(PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)? JE, NINI CHANZO, DALILI NA MADHARA YAKE?

Malengelenge au Trichomoniasis ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya ngono kama magonjwa mengine ya zinaa. Maambukizi ya ugonjwa huu yanaweza kutokea hata kwa mtu asiye kuwa na dalili za maambukizi ya ugonjwa huu. Wanawake hupata maambukizi ya ugonjwa wa Malengelenge kutoka kwa wanaume, na wanaume pia huupata kutoka kwa wanawake…

JE, UNAFAHAMU CHANZO NA DALILI ZA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKJO(UTI)? JE, NINI MADHARA YAKE?

Neno UTI ni la kiingereza ambalo kirefu chake ni Urinary Tract Infection, yaani maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo.   Maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo(UTI), huwa ni maambukizi katika sehemu yoyote ya mfumo wako wa mkojo yaani kuanzia figo (kidneys); mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo(urethers),…

JE, KUTOKUSAGWA KWA CHAKULA TUMBONI YAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MWILINI MWAKO? JE, NINI DALILI NA MADHARA YA TATIZO HILI?

Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano;  tumbo kuuma na kujaa mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula…

JE, UNAIFAHAMU MIRIJA YAKO YA UZAZI INAVYOKUWA? JE, NINI KINATOKEA PALE INAPOPATA MATATIZO?

Mirija ya uzazi huwa misuli miwili yenye uwazi kwa ndani ambayo hutokeza kwenye kona ya kulia na kushoto mwa tumbo la uzazi kuelekea kwenye vifuko vya mayai. Mirija ya uzazi huishia katika umbo fulani kama bomba vile ambalo kitaalamu tunaita, “Infundibulum” ambalo hufunikwa na kijidole kidogo kijulikanacho kama, “Fimbriae”. Fimbriae…

JE, UNAYAFAHAMU MAAJABU YA MZUNGUKO WAKO WA DAMU?

Wazia nyumba yenye mfumo tata wa mabomba kiasi cha kwamba kioevu kinachopitia humo kinaweza kusafirisha chakula, maji, oksijeni, na uchafu kwa njia salama. Isitoshe, mabomba hayo yanaweza kujirekebisha ili kumudu mahitaji mbalimbali nyumbani. Huo ungekuwa uhandisi bora kama nini!   Lakini, “mabomba” ya mwili wako hufanya mengi zaidi. Mbali na…