MATATIZO YA TEZI YA PARATHYROID

Matatizo makubwa ni pale tezi ya parathyroid inapozarisha kiwango kikubwa cha homoni au vichocheo vya parathyroid kwenye damu(hyperparathyroidism) au pale tezi za parathyroid zilizoko shingoni zinaposhindwa kuzarisha homoni au vichocheo vya kutosha vya parathyroid (hypoparathyroidism). Kiwango Kikubwa Cha Homoni Ya Parathyroid (Hyperparathyroidism) Katika matatizo haya, uzarishaji mkubwa kupita kiasi wa…

Haya Ndio Madhara Ya Maambukizi Ya PID

Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi(PID) ni maambukizi ya mirija ya mayai(fallopian tubes), vifuko vya mayai(ovaries), mfuko wa kizazi(uterus) pamoja na shingo ya kizazi(cervix). Ugonjwa huu usipotibiwa unaweza kusababisha makovu ama tishu kuoteana ikiwa na mkusanyiko wa ute mchafu kama vile usaha kwenye mirija ya mayai, na hivyo kuharibu…

Fahamu Madhara Ya Uvimbe Wa Fibroid Kwa Mama Mjamzito

Fibroids sio salatani bali ni vivimbe ambavyo huota ndani au nje ya mfuko wa kizazi(uterus) au mji wa mimba. Vivimbe vinaweza kushambulia ujauzito au kuondoa kabisa hali au uwezo wa kupata ujauzito. Vivimbe kwenye kifuko cha uzazi huwa ni vya kawaida kabisa. Tukiangalia asilimia 20%-80% ya wanawake wamekuwa wakipatwa na…

Je, Mbegu Za Mwanaume Zilizo Bora Na Zenye Afya Zinakuwa Na Ladha Na Harufu Gani Na Huwa Na Muonekano Gani?

Baadhi ya watu wanaweza kujiuliza je, ladha ya manii au shahawa huwa ikoje, au harufu yake inakuwaje. Wakati unapoweza kubadirisha sifa hizi, basi mabadiriko yanaweza pia kuwa ishara ya matatizo. Ladha, harufu, rangi na muonekano wa manii unaweza kutofautiana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Manii zinaweza pia kubadirika…

Mambo 7 Yanayofanya Mbegu Za Mwanaume Kuwa Chache Na Dhaifu.

Manii kukosa mbegu pale anapozitoa kitaalam tunaita, “azoospermia.” Vyanzo vyake ni pamoja na kuziba kwenye njia za uzazi, matatizo ya homoni, matatizo ya kufika kileleni, au matatizo kwenye korodani au utendaji kazi wake. Visababishi vingi vinatibika na uwezo wa mwanaume kumpa mimba mwanamke unaweza ukarejea. Kwa visababishi vingine inawezekana kurejesha…

Fahamu Madhara 7 Mabaya Ya Ugonjwa Wa PID.

Madhara ya PID ambayo hayajatibiwa yanaweza kuchukua miaka mingi kuja kutokea. Matatizo yanayotokea yanaweza kuwa yenye maumivu. Madhara haya yanaweza pia kusababisha uharibifu wa kudumu kwenye viungo vya uzazi. Yanaweza kusababisha matatizo ya kutokushika mimba (utasa). Kadiri PID inavyoachwa bila kutibiwa kwa muda mrefu, ndivyo uwezekano wa matatizo haya hutokea.…