Ini ni kiungo kikubwa kigumu kinachokuwa ndani ya mwili wako. Ini huondoa sumu kwenye damu , hutengeneza viwango safi vya sukari kwenye damu, hurekebisha damu isigande, na hufanya kazi mamia na kazi zingine muhimu kabisa. Kama ilivyo kawaida, ini lako huwa lipo ndani ya mbavu upande wa kulia maeneo ya…
ZIJUE SABABU ZA UGONJWA SUGU WA FIGO, DALILI ZAKE, MADHARA YAKE NA TIBA ZAKE.
Ugonjwa sugu wa figo, pia unaitwa hali sugu ya kushindwa kufanya kazi kwa figo, inahusisha figo kupoteza polepole utendaji kazi wake. Figo zako huchuja uchafu na majimaji kutoka kwenye damu, ambao huondolewa kweye mkojo wako. Ugonjwa sugu wa figo unaweza kusababisha viwango vya hatari vya majimaji, pamoja na uchafu viweze…
Fahamu Jinsi Uvimbe Wa Fibroid Unavyoweza Kuchangia Kutokwa Na Damu Nyingi Wakati Wa Hedhi.
Damu nyingi wakati wa hedhi kwa kawaida hufafanuliwa kama kipindi cha hedhi ambacho hukaa kwa muda zaidi ya siku 8 na huhitaji kubadiri pedi mara kwa mara. Wakati hakuna sababu moja kuwa uvimbe wa fibroid kuwa husababisha hedhi ya muda mrefu, kuna nadharia chache: Uvimbe unaweza kukandamiza kizazi na kusababisha…
ZIJUE SABABU 8 ZINAZOFANYA KIPINDI CHA HEDHI KUCHELEWA
Je, Ni Kiasi Gani Hali Ya Kuchelewa Kwa Hedhi Inaweza Kuwa Jambo La Kawaida? Wasiwasi juu ya kuchelewa kwa hedhi, lakini unafahamu kwamba wewe sio mjamzito? Kukosa hedhi au hedhi kuchelewa ni hali ambayo hutokea kutokana na sababu nyingi mbali na ujauzito. Sababu za kawaida zinaweza kuanzia na kutokuwa na…
JE, UGONJWA WA PANGUSA UNAWEZA KUSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA?
Pangusa ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa ambayo ni ya kawaida kabisa, ambayo huwapata wanawake wengi kila mwaka. Kama ukipimwa ukakutwa na maambukizi ya ugonjwa wa pangusa huku ukiwa mjamzito, basi utakuwa na maswali mengi mno ya kujiuliza. NUKUU: Hapa kuna kile tumekiandaa ili uweze kuelewa juu ya madhara ya…
PID INAWEZA KUSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA AU KUWA MGUMBA KABISA
Maambukizi ya PID ni maambukizi yanayosababishwa na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa au maambukizi mengine. Takwimu inaonyesha karibia watu zaidi ya milioni 1 hupatwa na maambukizi ya PID kila mwaka. Katika wanawake 8 mmoja anaweza kukutwa na maambukizi ya PID likionyesha matatizo ya uzazi. Mbali na madhara, lakini bado ugonjwa huu…