ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA KUVIMBA KWA TONSES(MAFINDOFINDO) NA TISHU LAINI PUANI (ADENOIDS).

Je, Tonses Na TishuLlaini(Adenoids)  Ni Nini? Tonses(mafindofindo) na Adenoids(tishu laini)  ni moja kati ya mtandao wa viungo muhimu mwilini vinavyo husika na kinga dhidi ya maambukizi ya virusi, bakteria ambao hujitokeza ili kuingia puani au mdomoni, lakini tishu  hizi za limfu ndizo huzuia bakteria au virusi wasiweze kuingia ndani zaidi.…

ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA MLANGO WA KIZAZI KULEGEA(INCOMPETENT CERVIX). JE, NINI MADHARA YAKE?

Mlango wa kizazi kulegea, pia huitwa mlango wa kizazi kutokuwa na uwezo, ni hali ambayo hutokea pale tishu dhaifu za mlango wa kizazi zinaposababisha au kuchangia kujifungua mtoto kabla ya muda wake au kuharibika kwa mimba. Kabla ya ujauzito, mlango wako wa kizazi, yaani sehemu cha chini ya mji wa…

JE, UNAJUA CHANZO CHA KIKOHOZI KIKAVU? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?

Kikohozi kikavu ni kikohozi ambacho hudumu kwa muda wa wiki nane au kwa muda mrefu mara kinapompata mtu mwenye umri mkubwa, au wiki nne kwa watoto wadogo. NUKUU: Kikohozi kikavu ni hali ambayo inapompata mtu humfanya kukereka mno. Hali ya kikohozi kikavu inaweza kumfanya muhusika akakosa usingizi kabisa na akajisikia…