Mirija ya uzazi ni ya muhimu sana katika kufanya kazi za mfumo wa uzazi wa mwanamke. Kumbuka wanawake wana mirija miwili ya uzazi, na kila mmoja umeungana na mfuko wa mayai(ovary) kila sehemu ya mfumo wa uzazi(uterus). Kila mwezi yai lililopevuka hutolewa kwenye mfuko wa mayai kwa njia inayofahamika kama…
JE, JINSI GANI UGONJWA WA PID UNAVYOWEZA KUATHIRI KIZAZI CHA MWANAMKE?
PID inaweza kumfanya mwanamke kupata ujauzito kwa shida sana, na mwanamke 1 kati ya wanawake 10, anaweza kuwa mgumba kabisa kutokana na maambukizi hayo. Bakteria ambao huenea hata kufika kwenye mirija ya uzazi wanaweza kupelekea kuwapo uvimbe ambao husababisha makovu kujengeka. Na makovu hayo yanaweza kuunda vizuizi kwenye mirija ya…
JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU UKENI BAADA YA TENDO LA NDOA?
Wanawake wengi hupatwa na hali ya kutokwa na damu ukeni mara moja au zaidi baada ya tendo la ndoa. Inaonekana karibia asilimia 63% ya wanawake wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi hupatwa na hali ya ukavu ukeni na kutokwa na damu ukeni au kutokwa na damu kidogo kidogo wakati wa tendo…

JE, MAAMBUKIZI SUGU YA FANGASI UKENI YANAWEZA KUMFANYA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO?
Ndugu msomaji naomba upitie makala hii kwa makini ili uweze kujifunza madhara yatokanayo na maambukizi ya fangasi ukeni. Maambukizi ya fangasi ukeni ni ya kawaida kabisa japokuwa ni mabaya kama jinsi yasivyohitajika kuwa kwa mtu. Katika wanawake 4, basi wanawake 3 wanaweza kuwa na maambukizi ya fangasi ukeni kwa umri…
JE, NINI MAANA YA UKE KUWA MKAVU?
Ukavu wa uke huwa ni dalili za maumivu yanayoathiri ubora wa maisha ya mtu. Unaweza kusababisha maumivu wakati unakaa, au unafanya mazoezi au unapokojoa na hata wakati unapofanya tendo la ndoa. Kwa kawaida, sehemu ya ndani ya uke huwa ni yeneye unyevunyevu wenye majimaji yanayosaidia kuufanya uke uweze kuvutika. NUKUU:…