JE, JINSI GANI UGONJWA WA PID UNAVYOWEZA KUATHIRI KIZAZI CHA MWANAMKE?

PID inaweza kumfanya mwanamke kupata ujauzito kwa shida sana, na mwanamke 1 kati ya wanawake 10, anaweza kuwa mgumba kabisa kutokana na maambukizi hayo. Bakteria ambao huenea hata kufika kwenye mirija ya uzazi wanaweza kupelekea kuwapo  uvimbe ambao husababisha makovu  kujengeka. Na makovu hayo yanaweza kuunda vizuizi kwenye mirija ya…

JE, MAAMBUKIZI SUGU YA FANGASI UKENI YANAWEZA KUMFANYA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO?

Ndugu msomaji naomba upitie makala hii kwa makini ili uweze kujifunza madhara yatokanayo na maambukizi ya fangasi ukeni. Maambukizi ya fangasi ukeni ni ya kawaida kabisa japokuwa ni mabaya kama jinsi yasivyohitajika kuwa kwa mtu. Katika wanawake 4, basi wanawake 3 wanaweza kuwa na maambukizi ya fangasi ukeni kwa umri…

JE, NINI MAANA YA UKE KUWA MKAVU?

Ukavu wa uke huwa ni dalili za maumivu yanayoathiri ubora wa maisha ya mtu. Unaweza kusababisha maumivu wakati unakaa, au unafanya mazoezi au unapokojoa na hata wakati unapofanya tendo la ndoa. Kwa kawaida, sehemu ya ndani ya uke huwa ni yeneye unyevunyevu wenye majimaji yanayosaidia kuufanya uke uweze kuvutika. NUKUU:…

JE, UNAWEZA KUPATA UJAUZITO HUKU UKIWA NA MAMBUKIZI YA PID?

Kupata mimba huku ukiwa na maambukizi ya PID inaweza kuwa ni changamoto. Hata hivyo, wanawake wenye maambukizi ya PID hapaswi kupoteza tumaini. Kupitia matibabu ya tiba za asili, mwanamke mwenye maambukizi ya PID anaweza kupona ugonjwa na akapata ujauzito. NUKUU: Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 huhangaika sana kupata ujauzito.…