MATATIZO YA TEZI YA PARATHYROID

Matatizo makubwa ni pale tezi ya parathyroid inapozarisha kiwango kikubwa cha homoni au vichocheo vya parathyroid kwenye damu(hyperparathyroidism) au pale tezi za parathyroid zilizoko shingoni zinaposhindwa kuzarisha homoni au vichocheo vya kutosha vya parathyroid (hypoparathyroidism).

Kiwango Kikubwa Cha Homoni Ya Parathyroid (Hyperparathyroidism)

Katika matatizo haya, uzarishaji mkubwa kupita kiasi wa homoni za parathyroid husababisha mifupa kuzarisha kiwango kikubwa cha madini ya Calcium. Kutokana na kiwango kikubwa cha madini ya Calcium kinachotolewa kupitia figo, basi mawe kwenye figo hujengeka.

Uharibifu wa kudumu kwenye eneo la figo unaweza kutokana na Calcium kuingia kwenye tishu. Kwahiyo mifupa huondolewa madini yake ya Calcium na kuonekana kuvunjika. Dalili zingine ni pamoja na:

  • Kuhisi kiu sana
  • Kukojoa sana mara kwa mara
  • Kuhisi maumivu mgongoni na kwenye mifupa mingine na jointi, na
  • Kukosa hamu ya kula
  • Kuhisi kichefuchefu na kutapika.

Uvimbe wa tezi ya parathyroid upande mmoja au zaidi mara nyingi huwa ndio chanzo cha kuwepo kiwango kikubwa cha homoni ya parathyroid.

Hata hivyo, uzarishaji mkubwa wa homoni ya parathyroid unaweza pia kutokea huku ukiambatana na ugonjwa sugu wa figo na kwenye matege.

Vivimbe Fulani vyenye kudhuru kila mahali mwilini vinaweza kuzarisha homoni au vichocheo vyenye kazi kama ya homoni ya parathyroid, na hata kuzarisha dalili kama zile za kiwango kikubwa cha homoni ya parathyroid.

Je, Tiba Yake Ni Nini?

James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa uzarishaji mkubwa wa homoni ya parathyroid, nazo ni MULTICURE POWDER, CARD HERB, HAPPY LIFE 4 FAMILY na REDEEMER.

Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSAP ili tukuunganishe na group letu la masomo ya afya.

Unahitaji kuwasiliana nasi, basi piga: 07523839252/0712181626.

Arsuha-Mbauda.

Karibuni sana!

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *