JE WAJUA CHANZO CHA TATIZO LA KUATHIRIKA KWA TEZI TUME, DALILI ZAKE NA TIBA ZAKE?

  Hii huwa ni ile hali ya tezi dume kuathirika kutokana na vyanzo mbalimbali kwa mfano;  bakteria, nk.  Kuathirika kwa tezi dume kunaweza kusababisha hata utendaji kazi wake kupungua, na inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na kazi yake kubwa ni kuzarisha manii kwaajili ya kurutubishana kusafirisha mbeguza kiume kutoka…

JE, UNAJUA SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE WENGI KUTOKUSHIKA MIMBA?

    Mwanamke kutokushika mimba kumegawanyika katika makundi makuu mawili. Kwanza ni hali inayoitwa “Primary infertility” ambapo mwanamke hana historia ya kupata ujauzito. Pili, kuna hali inayoitwa Sekondari infertility, hapa mwanamke anayo historia kama aliwahi kupata ujauzito haijalishi kama alizaa au alitoa ama iliharibika. Matatizo ya kutoshika mimba kitaalamu tunaita…

JE, WAJUA CHANZO CHA MIGUU AU MIKONO KUWAKA MOTO, KUUMA, AU KUFAGANZI?

  Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au…

JE, WAJUA CHANZO CHA HOMA YA MATUMBO(TYPHOID) DALILI, NA TIBA YAKE?

  Mpendwa msomaji, naomba utege sikio nikueleze kwa kifupi tu uweze kujua habari ya homa ya matumbo.   Homa ya matumbo(Typhoid) kwa kawaida husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kwa kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mtu aliyambukizwa. Bakteria hawa hutoboa na…

JE, WAZIJUA SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI(AMENORRHEA)?

  Je, Amenorrhea Ni Nini? Kwa kawaida hii ni hali ya mwanamke ambaye amepevuka na kukomaa maumbile yake ya Uzaz kushindwa kupata hedhi au kupitiliza siku za hedhi. Kwa ufupi tatizo hili limekua likiwakumba na kuwaletea usumbufu wa kisaikolojia wanawake wengi wakidhani kwamba wamepata ujauzito nk, hata hivyo tatizo hili…

JE, WAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA PANGUSA(CHLAMYDIA)?

  JE, WAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA PANGUSA(CHLAMYDIA)?   Pangusa ama kitaalamu wanaita Chlamydia trachomatis, ni ugonjwa  wa zinaa wa kawaida  kabisa, nayo huwa ni maambukizi yanayosababishwa na bacteria aina ya pathogen ambao wanaweza kuharibu mlango wa kizazi ama shingo ya kizazi(cervix) wa mwanamke, mrija wa mkojo…

JE, WAJUA CHANZO CHA KUPUNGUA MBEGU ZA MWANAUME?

    Kazi ya uzarishaji wa mbegu za mwanaume katika mfumo wa uzazi unahitaji utendaji kazi wa korodani pamoja na tezi za hypothalamus na pituitary ambazo huwa kwenye mfumo wako wa fahamu(ubongo) kwa ajili ya kuzarisha homoni ama vichocheo vinavyosababisha uzarishaji wa manii. Mbegu zinapozarishwaji kwenye korodani, husafirishwa na kuchanganywa…