MAMBO 7 YANAYOSABABISHA MANII ZA MWANAUME KUKOSA MBEGU.

Manii kukosa mbegu pale anapozitoa kitaalam tunaita, “azoospermia.” Vyanzo vyake ni pamoja na kuziba kwenye njia za uzazi, matatizo ya homoni, matatizo ya kufika kileleni, au matatizo kwenye korodani au utendaji kazi wake. Visababishi vingi vinatibika na uwezo wa mwanaume kumpa mimba mwanamke unaweza ukarejea. Kwa visababishi vingine inawezekana kurejesha…

YAJUE MADHARA 7 YA KUTISHA YA UGONJWA WA PID.

Madhara ya PID ambayo hayajatibiwa yanaweza kuchukua miaka mingi kuja kutokea. Matatizo yanayotokea yanaweza kuwa yenye maumivu. Madhara haya yanaweza pia kusababisha uharibifu wa kudumu kwenye viungo vya uzazi. Yanaweza kusababisha matatizo ya kutokushika mimba (utasa). Kadiri PID inavyoachwa bila kutibiwa kwa muda mrefu, ndivyo uwezekano wa matatizo haya hutokea.…

SABABU 12 ZA KUVURUGIKA KWA HOMONI ZA MWANAMKE (HORMONAL IMBALANCE)

Hali ya kutokuwa na uwiano sawa(hormonal imbalance) kwa wanawake hutokea pale vichocheo au homoni zinapopanda sana au kushuka sana na kufikia viwango vya chini kwenye mkondo wa damu. Vichocheo au homoni huwa ni kemikali zinazozarishwa na tezi katika mfumo wa endocrine zinazoambia seli, tishu, pamoja na viungo, kitu gani cha…