Kwa sababu tu maumivu yanatoka kwenye nyonga haimaanishi kuwa una tatizo linalohusiana na nyonga. Badala yake, maumivu yanaweza kuwa yanatoka nyuma yako, haswa, kutoka kwenye pingili za uti wa mgongo zilizosagika. Endelea kusoma makala hii ili kujifunza ikiwa maelezo haya ya kawaida yanafaa kwa hali yako. Je, Nini Maana…
Fahamu Sababu Zinazopelekea Nyonga Zako Kuuma.
Maumivu ya nyonga huwa ni maumivu sehemu ya tumbo la chini pamoja na nyonga zenyewe. Kwa wanawake, maumivu ya nyonga yaweza kuwa viashiria au dalili za matatizo yaliyoko kwenye mfumo wa uzazi, mfumo wa mkojo au mfumo wa usagaji chakula au mifupa. Kulingana na chanzo chake, maumivu ya nyonga yanaweza…
Je, Kutoheshimu Ndoa Yaweza Kuwa Chanzo Cha Mateso Na Magonjwa?
Je, Upendo Ni Nini? Upendo wa kweli sio hisia; ni uamuzi wa kujitoa na kukidhi mahitaji ya mtu na usitarajie chochote. Upendo wa kweli hauna sababu, matarajio, au masharti. Huu ndio upendo wa dhati. Ni chaguo la mtu kubaki kuwa umejitoa kabisa kwake bila kujali anachofanya au kutofanya. Na wengi…
Haya Ndio Madhara Ya Kutoa Mimba
Wanawake wengi wanaonyesha kuwa wasiri sana pale wanapokuwa wakifanya tabia ya utoaji mimba. Lakini hali zao baadaye hudhihirisha tu kile walichokuwa wakikifanya hapo awali. Wengi wao hufika hospitalini huku hali zao zikiwa tete kabisa pamoja na kwamba wanaweza kujitahidi kuficha historia ya mambo yao waliyokuwa wakiyafanya hapo awali. Lakini wapo…
Fahamu Mambo Yanayopelekea Mlango Wa Kizazi Kuvimba
Na ieleweke kuwa mlango wa kizazi ni sehemu ya chini ya mfuko wa kizazi(uterus). Na huu ndio mlango ambapo damu ya hedhi hupitia kutoka kwenye mfuko wa kizazi(uterus). Wakati wa kujifungua mtoto, mlango wa kizazi hutanuka ili kuruhusu mtoto apite. Lakini kama ilivyo tishu yoyote ndani ya mwili, hivyo, mlango…
Fahamu Dalili 6 Za Kuvimba Kwa Titi. Je, Nini Madhara Yake?
Na ieleweke kuwa, kuvimba kwa titi huwa ni kuathirika kwa tishu yake ambayo hupelekea titi kuuma, kuvimba, kuwa lenye unyevunyevu na hatimaye kuwa lenye rangi nyekundu. Hali hii pia inaweza kukusabbisha ukapatwa na homa au baridi kali. Kuvimba kwa titi mara nyingi huwaathiri wanawake wanaonyonyesha, ingawa wakati mwingine hali hii…